Rais Amteua Dkt. James Mataragio Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati



RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati.

Dkt. Mataragio aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na anachukua nafasi ya Bw. Athumani Selemani Mbuttuka ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.


Dkt. James Peter Mataragio

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad