Simba na Yanga Ruksa Kutumia Uwanja wa Mkapa


Kwa Mkapa

Kuhusu kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mashindano ya kimataifa CAFCL Yanga SC, imekubaliwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye michezo yao ya CAF Champions League baada ya kuomba kuutumia uwanja huo ambao awali ulifungwa kupisha maboresho

Upande wa Simba SC nao wameshaomba kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa.
hivyo michezo ya Simba SC na Yanga SC, CAF Champions League itapigwa Benjamin Mkapa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad