Simba Wanamkosa Mchezaji Kama Guede na Okah, Wangefuka Magoli Mengi Sana


Guede Yanga
Guede Yanga

Matokeo ya Mechi ya Leo ASFC

FULL TIME: Yanga SC 5-0 Polisi Tanzania
⚽️ Joseph Guede
⚽️ Joseph Guede
⚽️ Farid Musa
⚽️ Mzize
⚽️ Shekhani


Ukiangalia Simba wanamkosa mshambuliaji ambaye anaweza kutumia vizuri mipira ya juu kwani wamekuwa Wakitengeneza nafasi nyingi lakini hazitumiwi.

Simba wamgekuwa na Guede wana magoli mengi kutokana na kutengeneza nafasi nyingi za mipira ya juu.

Kingine wanachokikosa Simba ni Combination ya Wachezaji kama Okrah & Guede....Ndiyo kwanza wameanza kuuwasha motoo.🙌🏻

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad