Simba yaitungua Geita kwa taabu 1-0, yamshusha Azam FC

 

Simba yaitungua Geita kwa taabu 1-0, yamshusha Azam FC

Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Geita FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.


Goli hilo pekee la Mnyama lilifungwa dakika ya 87 ya mchezo na Babacar Sarr.


Simba sasa imefikisha alama 33 chini ya Yanga anayeongoza msimamo akiwa na alama 40.


Simba ana kiporo kimoja kabla ya kumaliza mzunguko wa kwanza na kama Yanga ambaye tayari ameshamaliza mzunguko wa kwanza kwa kucheza mechi 15.


Kwa ushindi huo, Simba amemshusha Azam FC ambaye ana alama 32 akiwa amecheza mechi 14.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad