VIDEO: Diamond Platnumz Ajipost Akiwa na Zari na Kumuita 'Dada'

VIDEO: Diamond Platnumz Ajipost Akiwa na Zari na Kumuita 'Dada'


Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshea video akiwa pamoja na mama watoto wake, Zari the Boss Lady ambaye kwa sasa hawako pamoja na kumwita dada!.

Simba kupitia iukurasa wake wa Instagram ameshea video hiyo na kuandika; "Sister and I."

Je, huenda penzi la Diamond na Zari limerejea na wanaweza kuoana hivi karibuni?au penzi lao limerudi kama zamani?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad