Zari athibitisha ndoa yake na Shakibu imepasuka


Zari athibitisha ndoa yake na Shakibu imepasuka
Zari athibitisha ndoa yake na Shakibu imepasuka


Zari akiongea na Millardayo amesema tofauti yake na mume wake huyo zilianza miezi kadhaa iliyopita hadi yeye Zari kufuta picha za Shikib mwezi November mwaka jana na si kama watu wanavyodhani kuwa video ya juzi Zari akiwa ameshikana mikono na Diamond Platnumz ndio chanzo cha yote

Zari amesema wameamua kupeana nafasi, huku akisema siku chache zilizopita Shakibu aliweza kupaniki kirahisi kwa kuiona video yake na Diamond maana Zari hakumueleza kabla kuwa ipo kikazi

Pia Zari ameweka wazi kuwa mwanamke aliyeonekana na Shakibu katika clip iliyosambaa baadaye ni DJ wa Uganda ambaye alikuwa kwenye mahusiano na Shakibu mwaka 2019, Shakibu aliiachia video kwa blohhers akiwa na ex wake baada ya kuona video ya Diamond na Zari ikisambaa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad