Zuchu Kuachana na Diamond Platnumz ni Kiki



Kama ni mfuatiliaji wa 'ishu' za Mond na Zuchu, basi itakuwa siyo mara yako ya kwanza kusikia wameachana asubuhi na usiku wakarudiana.

Imetokea mara kadhaa hapo nyuma. Kumbuka mwezi mmoja uliopita, Mond aliandika kupitia ukurasa wake wa Insta kwamba yeye na Zuchu wameachana, lakini haikupita hata siku moja Mond akaandika tena kuwa yeye na Zuchu hawawezi kuachana kirahisi hivyo.

Hata hii ni moja ya 'KIKI' ambazo wanataka kufunika mitoko ya wenzao kama @ibraah na @harmonize ambao wameachia ngoma yao ya "Dharau" na sasa ipo trending kwa sasa.

Uwezekano ni mkubwa kuwa Zuchu kaandika kwa makusudi kutafuta 'attention' ili kuwatoa njiani Ibraah na Konde? Haya majibu mnayo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad