AL Hilal Kushiriki Ligi ya NBC Haitawekwa Kwenye Msimamo wa Ligi




Klabu ya Al Hilal ya Sudan itashiriki Ligi Kuu ya NBC mwakani, lakini haitakuwepo kwenye msimamo kwa sababu point zake hazitahesabiwa.

Taarifa za kweli zinadai kuwa klabu hiyo itashiriki kama kawaida na kuwekwa kwenye ratiba, lakini pointi zake hazitahesabiwa na hivyo kutopangiwa kwenye msimamo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad