Ali Kamwe: Tunaenda Kuwafunga Mamelod Kwa Mkapa



Tunakwenda kumfunga Mamelodi tarehe 30, Benjamin Mkapa, chambueni mnavyoweza ila ukweli unabaki hapo, sisi Yanga hii mechi tunaitaka na tumeamua.

Kama kawaida yangu niwaambie Wanayanga wenzangu naamini na nitaendelea kuamini mpaka siku ya mwisho wa maisha jambo lolote Yanga ikinuwia haijawahi kushindwa,” amesema Ally Kamwe, Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad