Amini Nawaambia Yanga Anaingia Semi Final..


Amini Nawaambia Yanga Anaingia Semi Final..


Jana Nilikuwa Najiuliza Why Simba Wamefurahia Yanga Kupangwa Na Sondowns!? Wakati wao pia Wamepangwa Na Mabingwa Wa Africa!?

1. Nikakumbuka Ndio Zile Tabia Za Kimaskini... Bora tokose wote...Simba Wanaamini Wao Hawatavuka Hatua Hii, Hivyo Furaha Yao Kuona Yanga Hawavuki Pia..

2. Simba Wanaamini Yanga Imewazidi Sana Uwezo Kwa Hiyo Bora Wamepata Mbabe Wao angalau Awapunguzie Machungu Ya Wao Kufungwa Na Yanga....

Lakini Amini Nawaambia Yanga Inaenda, Na Hamtoamini.....

1.Yanga Ina quality Players Wanaoweza ku-compite

2.Yanga Ina Spirt, Na Umoja Sana kutoka Kwa Viongozi, Wachezaji Mpaka Mashabiki.

3.Yanga Ina Hamu Ya Mafanikio, Inatamani Kuionyesha Africa Kuwa Ni Timu bora...

4.Yanga Ina Benchi zuri la Ufundi..Wanaolijua Vizuri Soka La Africa...

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad