Azam FC Waifikia Yanga Kwa Point, Wazidiana Magoli...


Azam FC Waifikia Yanga Kwa Point, Wazidiana Magoli...

Azam FC Wameendelea kukaza, msimamo wa Ligi baada ya Mechi ya Leo unasema wamelingana na Yanga Kwa Point...

AZAM FC 4-1 DODOMA JIJI FC
⚽️ 29” Lyanga
⚽️ 62” Feisal
⚽️ 64” Feisal
⚽️ 69” Kipre

⚽️ 84” Martin (p)

Baada ya ushindi huu Azam imefikisha alama 43 na kuwafikia Yanga ambao bado wapo kileleni kwa tofauti ya goli moja

Yanga _____Pts 43 GD 31
Azam______Pts 43 GD 30

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad