Azam Wafunguka Kwa Mara ya Kwanza Gharama za Kumnunua Mchezaji Prince Dube

Azam Wafunguka Kwa Mara ya Kwanza Gharama za Kumnunua Mchezaji Prince Dube


Azam FC imesema ikiwa kuna klabu inamtaka Prince Dube ikae mezani na klabu hiyo, huku ikibainisha kuwa gharama za kumnunua ni TZS milioni 765, vinginevyo mchezaji huyo asubiri mpaka mkataba wake utakapoisha mwaka 2026.

Aidha, klabu hiyo imesema mchezaji anapaswa kuheshimu mkataba na si kuomba kuondoka bure kwani ni ukiukwaji wa mkataba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad