Barcelona Kumng'oa Haaland Man City

 

Barcelona Kumng'oa Haaland Man City

Timu ya Barcelona inatajwa ipo kwenye mipango ya kufukuzia saini ya mshambuliaji wa Manchester City na taifa la Norway, Erling Haaland katika msimu wa joto wa 2025.


Wakala wa mchezaji huyo Rafaela Pimenta, alikutana na mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo ya La Liga, Deco, mwezi uliopita hali iliyofanya kuibuka kwa maswali mengi juu ya uhamisho huo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad