Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani.
Ujio wa ndege hiyo utaifanya ATCL kuwa na ndege 14, zikiwemo Boeing B737-9 Max mbili baada ya ile ya kwanza iliyowasili nchini Oktoba 2023.