Bondia Adai Kumjua Alitekeleza Mauaji ya Tupac

 

Bondia Adai Kumjua Alitekeleza Mauaji ya Tupac

Bondia wa ngumi za kulipwa na michezo ya mapigano mchanganyiko nchini Marekani Ryan Garcia amedai kuwa anamjua mtu aliyehusika katika mauaji ya kifo cha rapa Tupac Shakur na anaweza kuthibitisha.


Kupitia ukurasa wake wa X alichapisha ujumbe ambao ulizua mjadala kwa wadau mbalimbali, ambapo ujumbe huo ulikuwa ukieleza kuwa anamfahamu nani aliyemuua Tupac lakini watu wengi wanaweza kujibu hamjui huku akiweka wazi kuwa anaweza kuthibitisha hilo.


Ikumbukwe kuwa Tupac alifariki Septemba 13, mwaka 1996 akiwa na umri wa miaka 25 baada ya kupigwa risasi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad