Maombi ya klabu ya Azam FC kucheza mechi zake hizo mbili yalikubaliwa na Serikali na Azam FC wamejibiwa jana huku kila anaehusika akijulishwa ikiwemo Yanga na TFF/Bodi ya Ligi Kuu.
Kilichobaki ni kupanga muda wa kuanza mchezo wa Azam FC Vs Yanga SC.