Chama Anyoosha Mikono Aziz K na Kukiri ni Fundi


Baada ya muendelezo bora wa fundi wa mpira Aziz KI. Akitupia goli kila mechi, hatimaye Mwamba wa Lusaka Triple C, Chama Baaaba. Amenyoosha mikono juu kukiri ubora wa fundi huyu wa 'Kibukinabe'.

Tazama 'posti' ya Chama hapo juu, katupia picha ya Aziz Ki 'Master Key'. Kisha mbele kaweka 'imoji' yenye ishara ya kunyoosha mikono juu kama kukubaliana na ubora wa mwenzake.

Wakati waswahili Vingunguti, Tandale, Goba, Majimatitu hadi Vikindu huko, wakiraruana kwa maneno ya nani zaidi kati ya Chama na Aziz K. Kwao ni tofauti 'wanaenjoi' maisha huku wakisapotiana na kupongezana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad