Clara Luvanga Abeba Ubingwa Ligi Kuu Saudi Arabia

 

Clara Luvanga Abeba Ubingwa Ligi Kuu Saudi Arabia

Mshambuliji wa Kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga hapo jana aliisaidia Klabu yake ya Al Nassr kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia baada ya kushinda mechi yao dhidi ya Al Hilal kwa goli 4-2 huku yeye akifunga goli moja.


Pongezi nyingi kwa Clara kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad