Diamond Platnumz Awafunika, Burna, Wizkid, Davido na Rema

 

Diamond awafunika, Burna, Wizkid, Davido na Rema

Tanzania yazidi kung'ara kwa kutoa wasanii wawili Diamond Platnumz na Rayvanny wanao ongoza kwa kuwa na wafuasi wengi YouTube Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Katika orodha hiyo wasanii wengine ni pamoja na Harmonize anaeshika nafasi ya nne huku mwanadada pekee katika kumi bora ni Zuchu ambae anashika nafasi ya tisa.

  • 1. Diamond Platnumz (Tanzania) - milioni 8.7
  • 2. Rayvanny (Tanzania) - milioni 4.92
  • 3. Burna Boy (Nigeria) - milioni 4.69
  • 4. Harmonize (Tanzania)- milioni 4.43
  • 5. Rema (Nigeria) - milioni 4.03
  • 6. CKay (Nigeria) - milioni 3.95
  • 7. Davido (Nigeria) - milioni 3.9
  • 8. Flavour (Nigeria) - milioni 3.24
  • 9. Zuchu (Tanzania) - milioni 3.19
  • 10. Wizkid (Nigeria) - milioni 3

Source: AfricanFactsZone

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad