Diamond Platnumz, Rayvanny, Ali Kiba na Harmonize Katika List ya Wasanii Wanaolipwa Vizuri Africa


Diamond Platnumz, Rayvanny na Harmonize Katika List ya Wasanii Wanaolipwa Vizuri Africa

Mtandao wa Africa facts zone umeandaa orodha ya wasanii wanaotoza fedha nyingi zaidi kwenye show zao kwa mujibu wa data walizokusanya kutoka vanguard newspaper,Nation Africa,Briefly SA,Briefly & Daily trust.

Orodha hiyo inaongozwa na msanii @burnaboygram,@wizkidayo & @davido kutoka nchini Nigeria wao wanatoza $1 million ambazo ni sawa na 2.5 Billions Tshs,@diamondplatnumz anashika nafasi ya 14 kwenye orodha hiyo yeye akitoza $100000 ambazo ni sawa 255M Tshs.

@officialalikiba yeye anatoza $50000 ambazo ni sawa 127M Tshs,@harmonize_tz yeye anatoza $25000 ambazo ni sawa na 63M, @rayvanny yeye anatoza $20000 ambazo ni sawa na 51M Tshs.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad