Diva Amshukia Sheikh Abdul "Made You Kuna Kipindi Ulikuwa Huna Hata Sehemu ya Kulala"

Diva Amshukia Sheikh Abdul "Made You Kuna Kipindi Ulikuwa Huna Hata Sehemu ya Kulala"



Ameandika haya Diva:

Nimeona Intervie Ya @sheikh_abdulrazak_salum Rick Media. umesahau nilikuuguza ww na mzazi wako or wazazi wako? umewahi uguza hata ndugu yangu au mzazi wangu? nilikulipia hospital bills wakat ambao watu wakikukimbia , nilihangaika na ww usiku na mchana hospital. unaniita Bibi we ni mtoto ? una 32 years this year buana tumepishana miaka 3 tu .. Nimekuacha Mimi very Peaceful leo hii na asubuh ulisema huwez ishi bila mimi asa matusi saa hii ya nn ?!

kuna kipindi ulikuwa huna hata sehemu ya kuishi hukuwa na hela nilibeba majukumu yote kama mtoto wa kike bwana. kuwa na heshima na shukran, I made you ... sikutaka Post hii but naona kama umeumia sana umetukanwa na kudhalilishwa ? abdul ww kuwa responsible na matendo yako tu na tabia zako basi .. sababu umefanya mengi sana sana sana ya ajabu what i did was to clear the air .. jana ulisema mi nilikuwa na kucheat me ? never ever .. sasa leo tu umesema huwez ishi bila mimi huku whatsapp now nimekuwa bibi ulinistiri, huyu bibi alikufanyia Mengi Ya Wema aisee .. sikulala usiku kucha day in day out with my own money ili utibiwe .. aisee nikisema tufate sheria hasa ya ndoa my dear utalia sababu you made this. maneno yote nilisema Public was so real my dear. unachofanya ni unataka niharibia nisiolewe tena .. Mungu ananipenda sana kuna watu wako ready to marry me. nimeishi na ww na familia yako na ndio nilikuwa front sawa kwa heshima Ya Mzee wako futa kauli zako hizo haraka sana maana unanijua vizur tu ..

ww hupendeki .. ww umenidhalilisha sana .. nilikuwa nakupenda sana na kukuheshimu mwanzo ila wewe una matatizo usitake jisafisha like that bwana we embu niache niishi maisha yangu. ulinipiga nikatoka Mimba ww .. ulinifanyia vitendo vingi. nilikukumbatia na kukusafisha so many times, you hurt me so bad in 3 years and was so good to you kosa langu kusema sitak? i need Peace au mapovu yote kisa nn ..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad