Dk Slaa Amvaa Kinana Kuhusu Uchaguzi Mkuu

 

Dk Slaa Amvaa Kinana Kuhusu Uchaguzi Mkuu

"Nimesikia Kinana anaongea anasema uchaguzi utakuwa wa huru na haki, uchaguzi hauwi huru na haki kwa kauli ya mtu, unakuwa huru na haki kwa sheria, sheria zilizopelekwa bungeni ni mbovu ni mbaya kuliko zilizokuwepo, sasa hapo unawezaje kusema uchaguzi utakuwa huru na haki?".


"Nani wanataka kumdanganya kama mtoto mdogo sisi katika siasa tumekomaa mimi nina miaka zaidi ya 40 katika siasa ile kauli haikustahili kutolewa na mtu wa hadhi ya Kinana"


"Uchaguzi hauendeshwi kwa hisani ya mtu na hicho alichokisema ndiyo kinatufanya tukasirike zaidi na maandamano yawe maradufu zaidi tuhamasishe wananchi kuikataa CCM, kwa sababu wanakataa kufuata sheria wanataka tufuate hisia, hisia hizo ndiyo zimetufikisha hapa tulipo"- Dkt.Slaa

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad