Doroth Semu Achukua Nafasi ya Zitto Kabwe ACT Wazalendo


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Tanzania Bara, Doroth Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama akichukua nafasi ya muasisi wa chama hicho, Zitto Kabwe aliyemaliza muda wake

Semu ameshinda kwa Kura 534 sawa na 65.7% zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama ambapo alikuwa akiwania nafasi hiyo na Mbarala Maharagande aliyepata Kura 184 sawa na 34.3%.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad