Edo Kumwembe "Tumetumia 1% Kujadili Timu Mbili Kuingia Robo Fainali ila 99% Kuwajadili Pacome na Chama"



TUMETUMIA 1% KUJADILI TIMU
2 KWENDA ROBO, 99% KUWAJADILI PACOME & CHAMA

“Tumetumia asilimia moja tu ya muda wetu kujadili na kujivunia namna tulivyo wakali, namna tulivyopelekea timu mbili robo fainali..namna Morocco, Misri, Tunisia, Sauz na Algeria walivyoshindwa.

“Halafu badala yake tumetumia asilimia 99 kubishana nani mkali kati ya Pacoume na Chama. Watanzania hawastahili mambo mazuri basi tu tunawalazimisha!

✍🏽 Amendika Legendary Edo Kumwembe

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad