Edo Kumwembe: Mashabiki Kuingia Bure ni Silaha kwa Yanga

 

Edo Kumwembe: Mashabiki Kuingia Bure ni Silaha kwa Yanga

Wakati Yanga ikitangaza kufuta viingilio katika mchezo wake wa mkondo wa kwanza wa hatua ya Robo Fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns.


Mchambuzi mkongwe wa michezo kutoka nchini Edo Kumwembe amesema kitendo hicho kinaweza kuwa ni silaha ya ushindi kwa Yanga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad