Ibwe: Yanga Walistahili Kufungwa Magoli Manne

Ibwe: Yanga Walistahili Kufungwa Magoli Manne


Meneja wa Habari na Mawasiliano Azam FC, Hasheem Ibwe amesema timu yake ilistahili kupata ushindi mkubwa zaidi ya walioupata ila kutokana na majeruhi waliyokuwa nayo kikosini imewalazimu kushinda 2-1 dhidi ya Yanga.

Azam ilipata ushindi huo jana Machi 17, 2024 katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam na kupanda hadi nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mechi 21.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad