IGP Afanya Mabadiliko Makamanda wa Mikoa



Katika kuimarisha na kuongeza ufanisi wa kiutendaji kwenye majukumu ya Jeshi la Polisi Nchini, Mkuu wa Jesi la Polisi Nchini Tanzania IGP Camilius Wambura amefanya mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa
Aliyekuwa Kamanada wa Polisi Mkoa wa Singida Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Stella Mutabihirwa amepelekwa Makao Makuu ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwa Mkuu wa Kitengo cha Makosa dhidi ya Binadamu na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (SACAP) Amon Kakwale ambaye alikuwa

Continue reading

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad