Jacque Maribe Ateuliwa Kuwa Mkuu wa Mawasiliano Wizara ya UTUMISHI wa Umma Kenya


Waziri Moses Kuria alimteua aliyekuwa mtangazaji wa Citizen TV Jacque Maribe kuwa mkuu wa mawasiliano katika wizara yake
Wakenya wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kumpongeza Maribe kwa kuteuliwa katika Wizara ya Utumishi wa Umma

Uteuzi huo unajiri mwezi mmoja baada ya Maribe kuachiliwa katika kesi ya mauaji iliyomhusisha marehemu mfanyabiashara Monica Kimani

Aliyekuwa mtangazaji wa runinga ya Citizen Jacque Maribe amepata ajira katika utawala wa Kenya Kwanza Alliance.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad