UTEUZI Mpya: Rais Samia Afanya Mabadiliko Wakuu wa Mikoa, Wilaya



UTEUZI Mpya: Rais Samia Afanya Mabadiliko Wakuu wa Mikoa, Wilaya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka imeeleza kuwa, Mabadiliko yaliy8fanywa na Fais Samia ni sehemu ya kuboresha utendaji kazi wa Serikali








Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad