Kocha Stars Afunguka Hatma ya Dickson Job "Nikiamua Kusema Nitamuua"

 

Kocha Stars Afunguka Hatma ya Dickson Job "Nikiamua Kusema Nitamuua"

Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ( Taifa Stars), Hemed Morocco amezungumza na juu ya hatma ya mchezaji Dickson Job.


"Mimi na Job tumezungumza yameisha salama waheshimu maamuzi ya Mwalimu, Nikiamua kusema hatumsaidii Job, Mimi nam-protect ni mchezaji mzuri, Watu wangeliacha kama lilivyo nikilitolea ufafanuzi nitamuua huyo. Nimeamua kumpumzisha kafanya makosa tumesameheana".

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad