Kufungwa Kwa Yanga Mjadala wa Yanga Kununua TIMU Zingine Umeisha


YANGA jana kafungwa ghafla tu ule mjadala wa GSM kudhamini timu nyingi umeisha, ndipo hapo utakuja kugundua shida haikuwa udhamini, shida ilikuwa ni propaganda kutokana na FORM ya Yanga.

Au angefungwa Azam ghafla tu ule mjadala wa Dube ungeshika kasi, wangekazia suala la Viongozi wa Azam kuwa Mashabiki wa hizi timu za Kariakoo, huenda wale wenye mlengo wa Yanga wangekuwa matatizoni.

Ikianza tena kushinda mfululizo utaibuka mjadala mwingine, huenda ukaja wa kwanini Viongozi wao wanaenda uwanjani kila mechi, Tanzania hii hakishindikani kitu😀

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad