Kuhusu Wachezaji Majeruhi Yanga Ali Kamwe Atoa Taarifa Hii Mpya



Ally Kamwe akizungumzia hali za wachezaji wao watano ambao ni majeruhi kuelekea mchezo na Mamelodi

> Kibwana atarejea ataanza mazoezi kwenye pitch kuanzia Jumatatu.

> Aucho ameingia kwenye phase ya pili ya recovering yake na ameanza fittnes, kwa mujibu wa madaktari akimaliza hapa ataingia phase ya tatu ataanza mazoezi mepesi kwenye pitch.

> Mauya yeye anaendelea vizuri atajiunga na timu haraka iwezekanavyo.

> Yao Kouassi yeye baada ya vipimo amegundulika alipata shida ya nyama za paja kwenye mchezo na Azam, kutokana na recovery anayofanya hadi sasa uwezokazo wa kushiriki mechi na Mamelodi ni 50/50.

> Pacome amegundulika alipata shida ya Goti tuliwaambia Timu ya Taifa kuwa mchezaji ameumia wakasema wanamuomba watamtibia akiwahi kuwa sawa atumike Kwenye michezo ya National Team, taarifa zake tutazitoa baada ya repoti ya madaktari wa Yanga Sc na Madaktari wa Ivory Coast.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad