Licha ya Kipigo, Bondia Francis Ngannou Akunja Bilioni 51

 

Licha ya Kipigo, Ngannou Akunja Bilioni 51

Bondia Francis Ngannou licha ya kupoteza mechi ya Jana dhidi ya Antony Joshua amevuna kiasi cha Dollar Million 20 (Billion 51 TZS).


Kiwango hiki ni kikubwa zaidi ya kile alichowahi kukusanya kwenye michezo ya UFC kwa miaka saba (7) ambapo alivuna Dollar Million 3.5 (TZS Billion 8.9).


Katika mapambano mawili aliyopigana dhidi ya Tyson Fury na Antony Joshua amekusanya jumla ya Dollar Million 30 (TZS Billion 76.5).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad