Lipumba: Napata Wasiwasi Kanuni Zipi zitatumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

 

Lipumba: Napata Wasiwasi Kanuni Zipi zitatumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.


Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa majadiliano yaliyoandaliwa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) lilokuwa linaangazia changamoto zinazowakabili vijana wa sasa kwenye siasa za uongozi na kujenga uelewa wa pamoja kati ya vizazi tofauti ili kuleta mabadiliko mazuri katika sera za nchi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad