Mange Kimambi Afurahia Wema Kuachana na Whozu "Kamata Mbaba au Mzungu Sasa"


@wemasepetu so proud of you, this is how you should be using your fame, kutengeneza pesa…

Now don’t look back, endelea kutafuta madili urudi kuleee kwa zamanı. Please jibrand upyaaaaa, you can do this.

Achana na wanaume ambao hawana wanachokupa zaidi ya dud.... You are 33 now, utoto ushaisha,soon utajikuta 40, achana na mapenzi yasiyo na maslahi, achana na mapenzi ya watoto wa shule ya kuhongwa iPhone. Kweli Tanzania sweetheart anahongwa iPhone? Nililia sana ile siku 😭😭. Please usirudi kule, alafu na kipigo juu? Hapana.!!

Unaweza rudi kuwa Wema yuleeee. Sio lazma uwe na boyfriend wa public, kamata mubaba mmoja ule maisha, au ukitaka wa public kwa hiko kibody ibuka na mzungu mmoja wa hatari nchi isimame hawa kina fulu fululu hapana jamani.
.
.
Siku ukiwa tayari kufunguka basi naomba ufunguke na @reytox_ sio uende kutoa content bure. But no pressure hata ukienda kutoa interview kwingine mimi wala sitamaindi, I just want the best for you. Love you 😘

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad