Ameandika haya Mange Kimambi:
Ushauri wa bure kwa Niffer kutoka kwa sisi wenye experience kubwa na haya mambo.
Mamii achana na ndoa za mitandaoni, huwa hazi last. Kila siku binadamu kuweka maoni yao kwenye ndoa au mapenzi yako eventually one of you won’t be able to take it anymore. Mwanzoni hamtojali Ila eventually comments za watu zitawavuruga tu….
I get you are so excited kuwa mke wa mtu ila tulia, enjoy ndoa yako in private. Ndoa za mitandaoni zina stress mnoooooooo. Trust me on this one.
Alafu kumbuka umeoa hujaolewa, hujui hata kama the guy really loves you au yuko hapo kwa opportunity uliyompa. Kuna wadada wana hela zaidi yako hizi show off hizi atatokea mwingine atampa zaidi, wewe umemfungulia duka na kumu introduce kwenye biashara atatokea mwingine wa kumpa duka kubwa zaidi.
Inabidi ujiulize wanaume woote uliokuwa nao before ambao walikuwa wamesimama wenyewe na ajira zao kina S2kizzy, Kiba, Yahaya wa SA walikuumiza wakasepa zao ila the broke guy ambae hajajipata ndo aliekubali kukuoa mpaka hapo jibu unalo mama…..
Tulia binti. Alafu biashara na mapenzi huwa havichanganywi hata siku moja, kuna kimoja kita suffer… Kamuulize @junaithar hasara ya kuchanganya mapenzi na biashara…..
Anyways, you have been warned. Ila wanawake wa Tz kama wamelogwa kwa kupenda kuolewa. Yani ilimradi tu aite mume wangu hata kama mtu anamlisha yeye bado anafurahi kumuita mume wangu. Kha!!!
Niffer dada zako tumeolewa na wanaume wazuri kama pipi, yani Brad Pitt anasubiri tena wana majengo hapa LA na tunakula nao maisha kimya kimya maana tunaijua mitandao inavyoweza haribu ndoa in 2 mins. Jifunze kitu….
Haki mwenzenu sijui nikoje huwa naumia mpaka maini nikiona binti mdogo kajitafuta kajipata alafu anaingia kwenye huu ujinga wa kuolewa na mwanaume ambae yeye ndo inabidi amsapoti financially.
Hii ndoa ya Niffer ili I last ni huyu kaka asipate mafanikio yoyote kifedha, yani aendelee kuwa chini ya Niffer kifedha ila kama kuna siku atapata pesa ya maana hiyo ndio siku Niffer anaachwa na kwenda kumfata mwanamke anaempenda.