Mapya Yaibuka Baada ya Kifo Cha Mzee wa Mjegeje


Mzee wa Mjegeje
Mzee wa Mjegeje

Ugomvi waibuka hapa Hospitali baada ya kifo cha Mzee wa Mgegeje, Marafiki zake wanataka azikwe Dar es Salaam lakini Ndugu wanataka aziÄ·we Bagamoyo.

Inadaiwa Mzee wa Mjegeje kabla hajafariki alisema kwamba azikwe Dar es Salaam maana kipindi anaumwa ndugu zake hawakumsaidia bali alisaidiwa na Marafiki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad