Mashabiki Mamelodi waipa onyo Yanga, "Watakachokutana nacho hawatoamini"

 

Mashabiki Mamelodi waipa onyo Yanga, "Watakachokutana nacho hawatoamini"

Mashabiki wa klabu ya Mamelodi Sundowns wamewafananisha mashabiki wa Yanga na mashabiki wa Kaizer Chiefs kwa sababu wanapiga kelele sana kabla ya mchezo.


"Inaonekana mashabiki wa Yanga na Kaizer Chiefs wana fanana, ni majirani wenye kelele, hawa watu wanapiga kelele sana." - Mabongza Nkosi.


"Naamini watajutia maneno yao baada ya mechi ya kwanza.Wanaweza wasisubirie mechi ya marejeano, kwa sababu kile watakachokiona Loftus Versfeld ni majanga." - Mabongza Nkosi.


"Wanaongea sana hawa jamaa, watakachokutana nacho watasimulia." - Nthabisengi Sauidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad