Mtoto wa Kufikia wa Marehemu MR IBU Aiba Akaunti ya Tik Tok ya Baba yake Masaa 18 Baada ya Kifo Cha MR Ibu



Masaa 18 baada ya kifo cha Mr. Ibu, binti yake Jasmine Okafor ambaye alimuasili, ameibadilisha jina akaunti ya TikTok ya marehemu ‘Mr Ibu’ na kuweka jina lake huku akifuta kila kitu cha mkongwe huyo wa Uchekeshaji nchini Nigeria

Jasmine ndiye alishiriki pia kwenye wizi wa pesa za michango ya matibabu ya Mr. Ibu mwezi Januari mwaka huu ambapo yeye na Kaka yake walikwapua kiasi cha TSh. Milioni 152.6 toka kwenye akaunti ya Mchekeshaji huyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad