MZEE WA MJEGEJE" Afariki Dunia



Msanii wa vichekesho Umar Iahbedi Issa anajulikana kwa jina maarufu la "MZEE WA MJEGEJE" amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya Mwananyamala alipokuwa anapatiwa matibabu.

Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo za kifo cha msanii wake anayekaa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Chanzo cha kifo chake kinatajwa alikuwa anaumwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad