Pacome Yupi Fiti Kabisa Atua Kwa Mabingwa wa AFCON, Aanza Mazoezi

 

Pacome Yupi Fiti Kabisa Atua Kwa Mabingwa wa AFCON, Aanza Mazoezi

Kiungo Mshambuliji wa Klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua tayari amejiunga na Kikosi cha timu yake ya Taifa ya Ivory Coast ambacho kipo Nchini Ufaransa kikijiandaa na Michezo miwili ya Kimataifa ya Kirafiki dhidi ya Benin na Uruguay.


Ivory Coast ndio Mabingwa wa AFCON 2023, ambako mchezaji huyo pia alipata fursa ya kuitwa kwenye kikosi cha awali.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad