PATA SECA: Mtumwa aliepewa kazi ya kulala na Wanawake 20 kila siku

 

PATA SECA: Mtumwa aliepewa kazi ya kulala na Wanawake 20 kila siku

Roque Jose Florencio (Pata Seca), kipisi cha mwanaume mrefu wa miraba minne alizaliwa mwaka 1828, alichukuliwa utumwani akiwa na umri mdogo na kuwa mtumwa wa mkulima mmoja mkubwa huko kwenye mji wa Sao Paolo, nchini Brazil.


Pata Seca alilazimishwa kufanya kazi ngumu na baadae kugeuzwa mashine ya kuzalisha watoto na akazaa zaidi ya watoto 200.


Wajibu wake mkubwa ilikuwa kufanya mapenzi kila siku na wanawake 20 (watumwa) ili kuzaa watoto ambao baadae wangekuja kuwa watumwa wa bosi wake.


Bosi alimchagua yeye kwa jukumu la kuzalisha wanawake kutokana na sifa za mwili wake ikiaminika angeweza kuzaa watoto wenye nguvu kama yeye.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad