Prince Dube Awaaga Rasmi Azam FC


Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne

Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka ,Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ilataratibu zifuatwe.

Jana kwenye mechi dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] Dube hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo

Hii ni ishara kwamba kila kitu kimeenda sawa kati yake na klabu ,lakini naendelea kufuatilia upande wa Klabu ili kufahamu kama upande wao unalitambua hili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad