Utapeli Facebook Kwa Kutumia Majina ya Wasanii na Wanasiasa Waongezeka, Epuka Yafuatayo



Epuka yafuatayo 👇👇

1. Matapeli wengi hutumia majina ya watu maarufu kujifanya wanatoa mikopo mitandaoni na wanakuonesha fomu za kujaza, hadi whatsapp wanaweza majina ya watu maarufu na picha zao uamini. EPUKA

2.Epuka kulipa pesa mtandaoni kwa mtu anayejifanya msanii maarufu ili akupe nafasi ya kuigiza

3. Epuka kutoa pesa kwa mtu anayetymianjina la msanii maarufu mtandaoni kwa kisingizio mfanye biashara

4.Epuka kutuma pesa kununua kitu kupitia akaunt yenye jina la msanii maarufu bila luwa na uhakika kuwa huyo ndie msanii halisi

5.Epuka mtu mwenye jina la msanii maarufu kukufuata inbox kukuambia lipa kiasi cha pesa ili akuingize katika mchezo wa bahati nasibu mpate pesa mgawane wote, ni matapeli

Wasanii wengi maarufu wa Tanzania wapo Instagram na akaunts zao zipo verified kwa blue tick. wengi hawapo Facebook hivyo kuwa makini visa vinavyoletewa inbox ni vingi watu wametapeliw

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad