Utata Tarehe Kumbukizi ya Kifo cha Mwinyi, Majibu ni haya

 

Utata Tarehe Kumbukizi ya Kifo cha Mwinyi, Majibu ni haya

Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amesema baada ya maziko ya Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi kumalizika atakaa na Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, kujadili siku rasmi ya kumkumbuka kiongozi huyo.


Rais Mwinyi alifariki dunia Februari 29, 2024 tarehe ambayo ni adimu, huwa haipo kila mwaka, inajirudia kila baada ya miaka minne

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad