Uwanja wa Bilioni 286 Kujengwa Arusha

 

Uwanja wa Bilioni 286 Kujengwa Arusha

Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro leo ameongoza zoezi la utiaji saini na Mkandarasi unaohusiana na ujenzi wa uwanja mpya wa michezo Jijini Arusha.


Ndumbaro amesema kwa sasa unajengwa uwanja wa kisasa kwa ajili ya AFCON 2027 wenye thamani ya Tsh bilioni 286 na wenye uwezo wa kuchukua Mashabiki 30,000.


Dkt. Ndumbaro amesema wao kama Wizara wamependekeza uwanja huo ambao utakuwa na michezo mingine pia kama riadha, uitwe jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Stadium kwa heshima ya Rais wa Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad