Yanga na Mamelodi Kiingilio ni Bure




"Kuiona Yanga na Mamelodi, thamani yake ni kubwa lakini kwa sababu ya upekee huo uongozi wa Yanga umeamua, mzunguko ambapo wanaingia watu wengi zaidi iwe bure."

Amesema Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari leo, Dar es Salaam.

Mchezo huo utachezwa Jumamosi, Machi 30, 2024. Ni miongoni mwao mechi kubwa na zenye mvuto zaidi kwa Afrika siku hiyo. Wananchiiii na Masandawana. Kitanuka!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad