Zanzibar Nzima Yakosa Umeme Sababu Kubwa Hii Hapa



Shirika la Umeme Zanzibar limesema Zanzibar Nzim inakosa Umeme kutokana na Hitilafu iliotokea Tegeta Tanzania Bara katika Kilovolt 132 ya laini ya kuja Zanzibar ambapo kwanzia saa 7 Mchana kulitokea changamoto hiyo ya kukosa umeme
” kuna hitilafu ya umeme mkubwa mkondo wa kilovolt 132 kutokea Tegeta Tanzania Bara kuja Zanzibar kulikosababisha kuzimika umeme hafla maeneo yote ya Zanzibar. Zeco inaomba radhi kwa usumbufu unaoendeleaa kujitokeza–ZECO ”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad