Zari Hassan na Shakib Warudiana



Baada ya tetesi kwamba Zari na mumewe Shakib Cham wametemana, kiasi cha kufuta picha zao wakiwa pamoja kwenye mitandao. Hatimaye penzi limerudi kwa kasi, wakionekana pamoja nchini Saudi Arabia.

Kabla ya kurudiana Bi Mkubwa Zari na Bwana Mdogo Shakib, walizinguana baada ya ukaribu wa Zari na Mondi Bin Laden kuvuka mipaka ya mtu na mzazi mwenza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad