Ahmed Ally Simba |
“Bado tunaamini tunaenda kubeba ubingwa wa ligi kuu msimu huu na nafasi ya kubeba ubingwa tunayo, mfano tukishinda kesho itakuwa tumeachwa alama 4 na anaeongoza ligi, tukimfunga April 20 inabaki alama moja, Je? hapo hatuwezi kubeba ubingwa?.”
Ahmed Ally ,Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC